Recent content by akajasembamba

  1. akajasembamba

    Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Marekani na Waisraeli ni wajinga badala ya kupiga pia Miji ya Iran kama Iran inavyopiga makazi ya Raia Israel, hao Iran hawawezi kusalimu amri wasipoumizwa, unafuata sheria wkt unapigana na magaidi wasiokuwa na huruma na wewe kisa ni myahudi au mkristo.
  2. akajasembamba

    Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Si ndiyo hapo sasa za Israel zipo ndani ya Iran bila kizuizi halafu mtu anasema za USA zimenyata ujinga mtupu, Iran imeshadhoofika kijeshi inabaki kurusha makombora hovyo bila kulenga miundo mbinu ya kijeshi.
  3. akajasembamba

    Msimamo wa Tanzania kwa kinachoendelea Iran-Israel

    Walipouwawa wanachuo wawili wakintanzania Mollel na mtenga na magaidi wa Hamas mchana kweupe wakiwa hawana silaha, hakuna aliyetoa msimamo wowote.
  4. akajasembamba

    Msimamo wa Tanzania kwa kinachoendelea Iran-Israel

    Ni "makafiri" kama wakristo kwa mujibu wa wafuasi wa Muhammad , na wanapigwa vita sababu siyo waislamu, wakisilimu leo vita itaisha.
  5. akajasembamba

    Drones zote za Iran zimepigwa chini, anga ya Israel salama

    Muziki upi walimshindwa Hayati Saddam Hussein kwa miaka 10 .
  6. akajasembamba

    Tetesi: Wananchi wamchangia pesa Basila Mwanukuzi kugombea Jimbo la Kawe

    Wabunge ni useless tunataka serikali za majimbo tuwe na magavana, mbunge hawezi kuamuru hata choo kijengwe kikajengwa, yeye ni mwakilishi tu, TUMENYIMWA HAKI YA KUCHAGUA VIONGOZI, tunaletewa makada wa chama waongoze mikoa na wilaya ambao hawajachaguliwa, UNELECTED LEADERS.
  7. akajasembamba

    Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

    Maswali ya nini kila kitu kipo wazi, mahakamani tu watu wanapigwa hadharani je huko korokoroni si jehanamu
  8. akajasembamba

    Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

    Usiwakashifu polisi kwa maana Wametumwa na CCM hawana jinsi wanatetea kibarua chao.
  9. akajasembamba

    Vita ya Tanzania dhidi ya waKenya: Serikali na vyombo vya dola vimekosea sana, kidiplomasia tumeyumba mnoo

    Hakuna vita ya watanzania na wakenya ni chama cha siasa cha CCM dhidi ya wanademokrasia
  10. akajasembamba

    PreGE2025 Agather Atuhaire asimulia alivyoteswa na kufanyiwa ukatili na polisi wa Tanzania, hili ni doa kubwa kwetu

    Hakuna mamlaka yasiyo na mipaka hata mfungwa ana haki zake! Torture is a crime against humanity kuna watu watakuja kujibu mashitaka in future.
  11. akajasembamba

    Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Kila binadamu anapaswa kulaani ukatili na unyama tena unaotokana na chuki za kisiasa.
  12. akajasembamba

    Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Toa ubaguzi wa rangi na udini, Gaza kuna vita ya Hamas na IDF hakuna mauaji ni matokeo ya COLLATERAL damage, kama ni uislamu huko Sudan na Myanmar wanakufa waislamu tele hamsemi
  13. akajasembamba

    PreGE2025 Agather Atuhaire asimulia alivyoteswa na kufanyiwa ukatili na polisi wa Tanzania, hili ni doa kubwa kwetu

    Hata ktk vita kuna sheria zinazolinda kutotesa mateka wa kivita waliovamia nchi yenu na ukiwatesa utashitakiwa!! CCM uroho wa madaraka utawaponza siku moja.
  14. akajasembamba

    PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Baadhi walikuwa wakisubiri yatokee ya NCCR, TLP na CUF
Back
Top Bottom