Recent content by AK72

  1. A

    Swali: baada ya kusafiri umbali mrefu, ni muda gani yapasa upite gari ndo izimwe.?

    Hapa sayansi ya utendaji kazi wa engine itusaidie (1)Engine inayofanya kazi hupandisha oil na kufanya maji kufikia joto la juu na pressure ya huu, hivyo ni sahihi kuiacha gari iddle kwa muda ili oil ishuke maana msukumo umepungua na feni ipooze maji na radiator kabla ya kuizima, na muda...
  2. A

    Gari lisipotumika nini madhara yake?

    Kuegesha muda mrefu kunaweza kuharibu gari lako ikiwa tahadhari haitachukuliwa:- (1)Battery...ifungue isiwe imeungwa kwenye mfumo. Hakikisha haiishiwi charge. (2)Engine iwashwe angalau mara mbili kwa mwezi na kuachwa iungurume japo kwa dakika kumi hadi nusu saa. (3)Gari itembezwe angalau mara...
Back
Top Bottom