Recent content by Ak47J

  1. A

    Uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mfumo mpya wa Kieletroniki itabaki story!

    Huu mfumo ni hasa upande wa Uhamisho ni uongo hakuna atakae hama Kupitia huo mfumo kwa kuwa ubabaishaji ni mwingi ukiwapigia simu majibu yao ni haya: #Subiri maombi yenu yanafanyiwa kazi utaona mabadiliko. #Sasa hivi maombi ya kwenye mfumo hayafanyiwi kazi subiri mpaka katibu Mkuu atakapoamua...
  2. A

    Mkeka wa uhamisho wa watumishi unatoka lini?

    Halmashauri gani na ni WA mwezi gani na mwaka gani jamaa hebu weka vitu wazi
Back
Top Bottom