Jamani Tanesco tunajua mna changamoto nyingi na mnapambana kukabiliana nazo. Tunaamini kuwa umeme unapokatika kunakuwa na tatizo fulani au shughuli za kiufundi zinakuwa zinafanyika mahali husika. Sasa kunankitu nashindwa kuelewa, hivi umeme unapokatika dakika 5 au 10 afu unarudi tena unakaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.