Recent content by ajmallah

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa ambaye hana kazi, jaribu hii

    Duh elf 1
  2. A

    JamiiForums Tanzania Madereva wa kike - Nafasi

    Mimi nahitaji pia.
  3. A

    JamiiForums Tanzania naomba msaada katika hili

    unamaanisha nini?
  4. A

    JamiiForums Tanzania naomba msaada katika hili

    chuoni wao wanahitji tu risiti zinazoonesha umelipa ada na wala si pesa cash,mtu anaweza akanilipia benk kwenye akaunt ya chuo ya tution fee na kunikabidhi risiti ambazo ndo muhimu siku ntakayo clear madeni yangu ya chuo.Hata mimi ntapenda mtu anipe risiti na si pesa cash.
  5. A

    JamiiForums Tanzania nini maana ya hiki kitu jamani?

    kweli hali ni ngumu ya kupata kazi hasa kwa taaluma yako uliosomea ndo mana yoyote utakayo sikia unatuma maombi,
  6. A

    JamiiForums Tanzania naomba msaada katika hili

    najitahidi sana kujibana huwezi amin ndugu yangu,Kozi ninayosoma ada yake ni laki 8 na bodi wananilipia laki 2 tu kwa hiyo laki 6 nalipa mwenyewe tangu mwaka wa kwanza najilipia mwenyewe ada kwa kubana pesa zangu za matumizi, nimeshindwa safari hii kwasababu ya kumlipia mdogo wangu ada kwa pesa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania naomba msaada katika hili

    aya ntaichagua
  8. A

    JamiiForums Tanzania naomba msaada katika hili

    CDM ndo nini?naomba unifahammishe
  9. A

    JamiiForums Tanzania naomba msaada katika hili

    mi naish tegeta pamoja na familia yangu yaan mama na wadogo zangu,kwa mawasiliano kwa ajili ya mchango wowote ule ushauri juu ya tatizo langu,unataka kunisaidia pesa ili nilipe iyo ada namba zangu za simu ni 0714940663 au 0765818882.Pia nipo tayari kama mtu atataka tuandikishiane ili zile pesa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania naomba msaada katika hili

    mi naishi tegeta na familia yangu yani mama na wadogo zangu. kwa mawasiliano kwa lolote ushauri,nini nifanye ili ntatue tatizo langu unaweza ukantafuta kwa namba yangu ya simu 0717393652.
  11. A

    JamiiForums Tanzania naombeni mnisaidie

    aya,ni kweli nilipotea mana mmh mtandao mkubwa kweli kweli,
  12. A

    JamiiForums Tanzania naomba msaada katika hili

    nasoma chuo kikuu dodoma[udom] mwaka a pili, nasoma kozi ya Public Administration nadaiwa laki nne ndo ambazo hazijalipwa mpaka sasa,endapo chuo kikifunguliwa mwez wa kumi mwaka huu naingia mwaka wa tatu.Nimejitahid kutafuta japo ajira za muda mfupi ila sijapata,nimeomba maombi ya sensa baati...
  13. A

    JamiiForums Tanzania naomba msaada katika hili

    naomba mtu wa kunisaidia kulipa ada ya chuo kwasababu ya mama angu kushindwa kunilipia,nina mzazi mmoja tu ambae ni mama angu istoshe nina wadogo zangu ambao wanasoma sekondari katika shule ambazo si za serikali nao wanahitaji ada na sote tunamtegemea mama, na chuo ninacho soma nadaiwa ada ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania naombeni mnisaidie

    mimi ni mwanachama mpyaaa wa JF
Back
Top Bottom