Recent content by AjeyTz

  1. AjeyTz

    Shule gani nzuri naweza mpeleka huyu mtoto?

    Jamani, niko na mdogo wangu wa kiume anasoma Olimpio hapa Upanga yuko darasa la 4 kuna kibarua nilikuwa najishikiza sas mkataba umeisha na anatakiwa aende shule na kule imekuwa mbali kwaiyo nikilipa ada lazima nilipe na pesa ya usafiri naishi mbagara sas nahitaj kumuhamisha swali ni shule gani...
  2. AjeyTz

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Jaman samahani naulizia kutoka hapa dar mpk maputo inagharimu kiasi gan nauli kwa bus
Back
Top Bottom