Recent content by aisha ikoti

  1. A

    JamiiForums Tanzania Updates: Maombi ya Vyuo Vikuu kwa Mwaka 2023/2024

    Chuo ndo kinatuma matokeo nacte mfano mimi chuo nilichosoma wengi walikua na shida iyo Ila chuo ndo kinasolve na wamepata AVN sasaivi kwaiyo wasiliana na chuo ulichosoma diploma yako waambie ujapata AVN na matokeo ayajatumwa nacte apo nacte huenda wana matokeo yako ya diploma 1 au certificate...
Back
Top Bottom