Kuna chuo kinaitwa TANZANIA AVIATION UNIVERSITY COLLEGE kipo Tabata Magengeni Dar es Salaam kina husika na maswala ya anga, kwanza hakina hadhi ya kuwa chuo kikuu cha anga Tanzania, pili hakina ma instructor (waalimu) wenye hadhi na vigezo vya uana anga, tatu kiko mazingira hatarishi kwa...
Jamani kuna chuo kinaitwa TANZANIA AVIATION UNIVERSITY COLLEGE kipo Tabata mnakizungumziaje? Vigogo na baadhi ya binadamu wasiokuwa na huruma wanakula pesa za bure za watanzania wanaotafuta pesa kwa shida bila huruma yeyote, wanafanya utapeli tu mjini. Jamani watanzania tufunguke.
Je Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.