Binti wa kwanza alishinda kupika dagaa vizuri , nilijua kwa huyu nitakufa na njaa au nitakula chakula sio kitamu
Binti wa pili. Nilimpatia laki moja , bila ya kumuelekeza matumizi , nilivokuja kumuuliza ameitumiaje? Vyote alivyonunua havikua vya msingi kwa upande wangu hata kwake pia niliona...
Acha ushabiki wa kipuuzi tu, dini ya kiislamu ni njema ila utamwa waarabu walishiriki kwa asilimia kubwa pia ndio watu waliokua na roho mbaya ya kuhasi watumwa wa kiume waliokwenda nchini mwao , kwa kifupi tu, waarabu na wazungu wote ndio wahusika pia, (wapo waarabu walio dili na uletaji wa Dini...
Baada ya kupata mtoto huyo wa kwanza hasa baada ya kujifungua ulichukua siku ngapi, ukaanza kutumia dawa za uzazi wa mpango , kama ulitumia ndani ya siku 1 hadi 90 au 110 baada ya kujifungua , nendq hospital ukaangaliwe mfumo wa afya maana badhi ya dawa husababisha mtu kutokua nq uwezo wa...
Habari mwanaJF,
Naomba ushauri rafiki yangu huwa na tabia ya kutongoza kila binti niliye naye kwenye mahusiano.
Ni rafiki ninayefanya naye kazi kituo kimoja pia tulikutana kazi japo pia tunakaa jirani kwenye nyumba za kampuni.
Kipindi cha nyuma nilikuwa na demu ambaye alimjua pia baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.