Recent content by airborne

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

    Anaefahamu uchumi atakwambia kwamba kushuka kwa thamani ya rubble against dollar hakuathili uchumi wa Russia kwasababu marekani ameamua kuiunguza dollar kwenye mzunguko hivyo lazima demand yake iwe kubwa sana Duniani. Angalia Kenya Wana upungufu wa dollar uliovunja historia, Tanzania...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Bro umechambua kitaalamu sana. Wengi wanadhani uchumi wa urusi unaanguka kisa ruble kushuka thaman against dollar, wasijue kuwa sarafu karibu zote Duniani zimeshuka thamani against dollar. Marekani anatumia gia hatar sana kutaka kukomboa sarafu yake, ila asijue inaweza kuwa kichocheo chakuiua...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    CIA wameingia kusababisha machafuko kenya
  4. A

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini nchi yenye hifadhi kubwa ya silaha duniani wakataa kutoa silaha zaidi kwa Ukraine

    Ujinga wa kiwango hiki ni adhabu nzito sana kwa taifa unalotoka. Pole sana, najua ulipofikia hutabadilika
  5. A

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Haina maana mpaka kufika miaka hiyo uchumi wa Urusi utakua unategemea Mafuta na gesi pekee. Viwanda vikubwa vinahitaji mafuta na gesi, kwahiyo hizo nchi zitapunguza utegemezi ila hazitaondoa kabisa. Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kati ya Russia na Ukraine ndo kitazaa World War III (WW3)

    URUSI amebadili malengo ya hii vita. Awali alitaka kutumia bajeti kubwa kwa muda mfupi kumaliza SMO. Ukrain mwanzo alionesha kuhimili makali ya urusi kivita ila mpaka Sasa imethibitika kufirisika kijeshi, silaha hata mbinu. Hali ambayo inapelekea kuendesha vita kupitia misaada ya siraha...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri sherehe za victory day ya Urusi inayofanyika usiku wa leo. CNN watarusha live kuanzia saa saba usiku wa leo

    Misaada ndio ilioziingiza nchi za Africa kwenye mtego wa wakoloni kutoka west. Anaekupa msaada anaekupa na mashart ya msaada huo, Hali inayopelekea nchi nyingi kuamuliwa mambo Yao ya ndani. Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Acha kutujazia takataka humu, tunataka taarifa zenye facts Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
  9. A

    JamiiForums Tanzania Pale dunia inapofumbwa kwa yale yanotokea nchini Sudan

    Tujifunze kitu hapa. Wao wanasababisha tunapigana vita sisi kwa sisi, wao wanakuja okoa ndugu zao wakati wazawa wanaachwa bila kuokolewa. Waafrika tunakufa kwa upofu wa akili zetu wenyewe
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wagner na wanajeshi wa Urusi wapigana wenyewe kwa risasi

    Hizo ni akili bandio, hauko sawa ww
Back
Top Bottom