Recent content by Aineksha Lugangira

  1. Aineksha Lugangira

    Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

    Okay thanks, thats not me anyway.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Aineksha Lugangira

    Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

    Lol, what's wrong with the Avatar??..just thinking out loud too.. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Aineksha Lugangira

    Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

    Okay Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Aineksha Lugangira

    Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

    Thanks a lot [emoji120][emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Aineksha Lugangira

    Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

    Wameandika lugha siielewi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Aineksha Lugangira

    Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

    Wanavodai ni kodi ila ninachoshangaa ni inakuwaje kodi inalipwa US na mzigo ukifika TZ kodi inalipwa tena..Ila nimezhaekewa maybe ndo system na inawezekana wanacharge kulingana na declare value Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Aineksha Lugangira

    Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

    Okay, asante[emoji120] ngoja nipitie iyo huduma Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Aineksha Lugangira

    Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

    Asante ngoja nikutumie namba unielekeze vizuri kwa whatsapp Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Aineksha Lugangira

    Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

    Yani kutuma uku kuja Tz kwa njia ya posta ni rahisi Sana,ila nilituma mzigo kwa $250 ulipofika Tanzania posta wakakataa kuutoa adi nilivolipia laki 5 na nusu, so ndo apo sielewi kwanini inakua ivyo? Sababu mzigo ukitoka Tz kuja marekani unaletwa adi mlangoni na sidaiwi kitu ,so iyo hela...
  10. Aineksha Lugangira

    Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

    Asante, tho dhl is way too expensive Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Aineksha Lugangira

    Njia raisi ya kusafirisha mizigo toka Marekani adi Tanzania

    Habari zenu jamani, nilikua naomba kama kuna mtu anajua njia rahisi ya kutuma mizigo kutoka Marekani kwenda Tanzania anipe mwongozo.Coz sielewi Tanzania posta wanatumia vigezo gani wanapo charge mzigo tena mara mbili ya ulivolipiwa marekani.Plz naomba anaefaham anielekeze Sent using Jamii...
  12. Aineksha Lugangira

    MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

    jimmyfoxxgongo, AMEN, ni kuomba tu Mungu, everything is possible.
  13. Aineksha Lugangira

    Naomba msaada: Natafuta soko la tangawizi

    Zao hili hustawi katika maeneo yenye hali ya kitropiki, kutoka usawa wa bahari hadi mwinuko wa mita 1,500 au zaidi. Huhitaji mvua kiasi cha mm.1,200-1,800 na joto la wastani wa nyuzi za sentigredi 20-25. Hustawi vema katika udongo tifutifu wenye rutuba na usiotuamisha maji Sent using Jamii...
  14. Aineksha Lugangira

    Naomba msaada: Natafuta soko la tangawizi

    Okay namba yangu nakutumia, Asante sana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Aineksha Lugangira

    Naomba msaada: Natafuta soko la tangawizi

    Uko pote nshaulizia ila bei zao zipo chini bado, nilikua nauliza kama kuna masoko mengine zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom