Recent content by TheForgotten Genious

  1. TheForgotten Genious

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Hii movie wameicheza vibaya, ukifuatilia mwezi huu wa nne sijaona vyombo vikiripoti ajari buguruni kwamba hiyo ajari haikuwa na umuhimu?, jeshi la polisi lina vibaka,taarifa yake hajasema ni tarehe na muda ilitokea ajali hiyo, na Ni lini maiti ilienda amana kisha kilwa.
  2. TheForgotten Genious

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Mtu anaongea unamuoana kabissa anapotosha yeye ila anasema wengine wanapotosha
  3. TheForgotten Genious

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Hizo akili wanazo basi? ,hawa hata wanapodanganya huwa akili zinakuwa off line hawafikirii ninauhakika ukienda pale amana getini huwezi kuona kuna maiti ilihamishwa kwenda kilwa Road, na huwezi kuta taarifa hiyo mortuary
  4. TheForgotten Genious

    Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Yaani usiweke andiko lako Karola mfumo wa nyaraka, bali chapa Mona kwa moja katika sehemu ya kuchapisha hapa JF
  5. TheForgotten Genious

    Uzinduzi wa awamu ya Nne wa Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

    Hii Ni tafsiri yako lakini si tafsiri ya mantiki ya waandaaji! Stori haizungumzii Jana tu, ni leo kesho ama keshokutwa, stori ya mabadiriko sio kitu cha kifikirika kama ndivyo inapoteza maana hiyo na kuwa Andiko bunifu ambayo yaweza kuwa Riwaya, tamthilia, hadithi...
  6. TheForgotten Genious

    Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

    Ah basi sawaa, ndio ukawe mke wa 3?
  7. TheForgotten Genious

    Natafuta mchumba wa kunioa

    😀😀
  8. TheForgotten Genious

    Natafuta mchumba wa kunioa

    Miaka yote mitatu chuo aliyekuwa anakuzagamua alikufa?
  9. TheForgotten Genious

    Looking for a Husband

    To yeye
  10. TheForgotten Genious

    Looking for a Husband

    😀😀😀
  11. TheForgotten Genious

    Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Athuman machupaaaa!!!., Kataa ndoa Ndoa ni utapeli
Back
Top Bottom