Recent content by Aidany

  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuwekeza kwenye taxi mtandao

    Nimefanya Kazi ya uber kwa muda kidogo Nikiwa napewa Day waka na Watu au Marafiki zangu. Sasa nimefanikiwa Kupata kiasi cha pesa nahitaji Gar za mkataba au mikopo Nafuu . Pesa niliyonayo ni Million 3. Sehemu nyingi nilizoenda wanataka Hati ya Nyumba. Sasa naomba msaada kwa yeyote anaejua juu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Anaejua shule nzuri kwa ajili ya private candidate

    Samahani wana jamvi. Naomba Msaada wa shule Kwaajir ya PC. Iwe nzury na Ada iwe nafuu kidogo Ikiwa Boding Au Day Sawa ila isiwe Dsm. Morogoro na Iringa first choice
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msada wa namba za simu za shule ya Lord Baden pow

    Naomba mwenye Namba za utawala za shule ya secondary Lord Baden pow Tafadhali anisaidie
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naitaji no za shule ya Alfa Gems

    Naomba Msaada wa kupata namba za simu za utawala za Alfa Gems
Back
Top Bottom