Recent content by Aidan Decepticon

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    JituMirabaMinne my recommendation mchek huyo jamaa.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya CVT ktk transmission

    Maono ya wazalishaj wa magari na kufanya vzur sokon kwa transmission nyingine sokon zaid ya manual, kunapelekea mahitaj ya AT au CVT kua juu sokon.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya CVT ktk transmission

    Gari nilizoona Zina CVT ni mostly new models japo sio zote kama Toyota RACTIS, IST NEW MODEL Japo Kuna aina 5 za transmission 1. Manual Transmission (MT) 2.Automated Manual Transmission (AM) 3.Continuously Variable Transmission (CVT) 4.Semi Automatic Transmission 5. Automatic Transmission
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya CVT ktk transmission

    Cvt=continuously variable Transmission ni aina ya transmission inayotumia mkanda au pulley inayokupa mabadiliko ya mwendo kas nyongefu, inaongeza na kupunguza mwendo kas wa gari bila kuhama gear ambazo haina {shiftless} AT= Automatic Transmission ni gearbox ambayo ina gear shift, kwa namba...
Back
Top Bottom