Recent content by Aida28

  1. A

    Natoa Huduma ya massage kwa wababa na wamama wanaosumbuliwa na migongo

    Kama unahitaji maelezo zaidi unaweza nipigia au wasap. Mimi ni mwanamke napatikana Sinza Makaburini
  2. A

    Natoa Huduma ya massage kwa wababa na wamama wanaosumbuliwa na migongo

    Hello.. karibuni sana wote ambao mnahitaji huduma ya massage. Nipo mm na wenzangu. Tuna timu yetu mikoa mbali mbali. Mimi binafsi nipo dar es salaam. Namba yangu ni 0787264085. Karibuni sana wote kwa huduma nzuri. Asante
  3. A

    Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni

    Unajua inashindikana kufunga kozi hio kwasababu watu wanaenda wanazeeka wanastaafu na wengine wanabadili fani. Huwezi kusema mm nafunga udahili kwasababu hawa walimu nilio nao wanatosha. Kuna kesho wakiwa ulionao hawapo au kupungua kutokana na mazingira hayo nilio sema, serikali unafikiri itakua...
  4. A

    Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni

    Hio haiwezekani. Hapo mtabanana umo umo. La msingi ni kufikiria na kushauriana kabla ya kusoma kozi. Ualimu ulikua uhakika zamani ila saizi hapana. Imekua kazi zake ni bahati
  5. A

    Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

    Miashoki mbona ipo sehem zote za kishua inamaana wanafuga majini? Huu ujinga tu acha kupotosha watu.
  6. A

    Hii kwa wanaume wote

    Hahah unakaa unawaza nini uko.
  7. A

    Hii kwa wanaume wote

    Hahah unakaa unawaza nini uko
  8. A

    Hii kwa wanaume wote

    Hahah unakaa unawaza nini uko
  9. A

    Wazazi Mnaosomesha Watoto Shule za Private jifunzeni kufanya tathmini ya Pesa mnayowekeza katika Elimu hiyo na matokeo yake (Hawatazeekea Nyumbani)?

    Ni challenge ametoa ambayo ni kweli. Ila wengi wanaosomesha watoto wao private wanakuwaga pia na uwezo wq kuwekeza kwenye viwanja na mashamba ila huwa hawavifikirii kwa badae. Kwaio wadau kama mtu anaweza wekezeni kwenye viwanja na shule nzuri mpeleke mtoto. Vinasaidia miaka ya mbele
  10. A

    Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

    Sikuizi ukimchapa mtoto watu wanakushangaa ila wakati tunakua ilikua kawaida sana. Na wengi wamepitia wanajua
  11. A

    Ushauri: Kama una mke au binti nyumbani kwako mshauri aache tabia ya kuposti picha zake mtandaoni

    Ilo kupost ni lazima. Mwanamke akipendeze au akienda sehem nzuri wengi lazima aonyeshe na wengine mtandaoni. It's nature
  12. A

    ChatGPT imetimiza unabii uliotolewa takriban miaka 2500 iliyopita!!

    Hao wanao gundua na kutengeneza ivi vitu sijui akili zao zinakua zinawaza nn. Maana si kitu cha kawaida
Back
Top Bottom