Recent content by AI DEVELOPER

  1. A

    Safari yangu katika kujifunza website development

    Habari rafiki, Nimekuwa nikivutiwa sana na mazungumzo kuhusu masuala ya teknolojia, na mimi pia ni miongoni mwa watu wanaotamani kwa Shauku kubwa kujifunza zaidi katika eneo hili. Hadi sasa bado sijapata muongozo wa kutosha, lakini ninaamini kabisa kuwa wewe unaweza kunisaidia kwa mwongozo...
  2. A

  3. A

    Nahitaji Taasisi ya Mafunzo na Mlezi wa Kitaaluma ili Kufanikisha Safari Yangu ya Kuwa AI Developer and Innovator

    Ahsante kwa kushirikisha! Kwa kweli Python for data analysis ni zana yenye nguvu sana kwa M&E. Itakusaidia sana kuchambua data kwa ufanisi na kufanya maamuzi sahihi. Nakutakia mafanikio kwenye safari yako ya kujifunza!
  4. A

    Nahitaji Taasisi ya Mafunzo na Mlezi wa Kitaaluma ili Kufanikisha Safari Yangu ya Kuwa AI Developer and Innovator

    Bila samahani Restless... Python,kuna bwana mmoja alikuwa anafundisha kupitia Telegram anajiita "Mo king". Gharama ya kujifunza python ilikuwa ni Tshs 50,000/= Nyongeza;EdX,jukwaa la mafunzo mtandaoni la Chuo kikuu cha Havard niliona wanatoa matangazo ya kozi ya python. EdX,huwa wanafundisha...
  5. A

    Nahitaji Taasisi ya Mafunzo na Mlezi wa Kitaaluma ili Kufanikisha Safari Yangu ya Kuwa AI Developer and Innovator

    Wakuu, Natumai nyote mu wazima wa afya na hali. Naomba mnisome kwa makini, kwani ujumbe huu ni sauti ya mtu mwenye nia madhubuti ya kujifunza na kujiendeleza kitaaluma. Lengo langu kubwa ni kuwa AI Developer and Innovator—mtu mwenye uwezo wa kubuni na kutengeneza suluhisho za kiteknolojia kwa...
Back
Top Bottom