Recent content by Ahobokile lwitiko

  1. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta social work kwenye NGOs

    kiongoz, ni kheri kuwa maskin wa mali lakin ukawa tajili wa hekima, busara ukiachia mbali Elimu ya darasani, utajili unanunuliwa hata hapa mjini upo(Freemason) ,hivyo ni maamuzi ya m2, usimcheke na kumdharau m2 ndugu. much dissapointed,think critically and judge as a gentlemen.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    zoom Tz niko nao kiongoz labda hao wengine nijiunge nao.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    Hapana ,napenda sana kufanya kazi na Wazawa, ila tatizo ni Who you know na sio What you know Iliyopo hapa kwetu,siwez kusema siko sawa, niko safi nadhani ndio maana hata hawa wazungu wananikumbuka sana hasa kwa mawasiliano, na siwez kuchagua kazi kiongozi, na kuhusu uandishi wa CV sina uhakika...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    sijakuelewa unamanisha nini.........
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    shukran kwa mawazo mazuri ndugu, zaidi sitoweza kukata tamaa na kukaa ndani tu, pia wazo la kufanya kazi nje naliafiki na jana nimetoka kujaza form za VSO( Voluntary Service Overseas) lakini nimelazimika kufanya hivyo kwa sababu ya uhaba wa ajira though itachukua mda mrefu, na kuwa mbali na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    niliinvest kwenye salon ya kike lakin mjanja katokemea nayo mitin, nami napenda sana biashara ila kwa sasa niko empty guyz, hawa wadogo zangu wa chou ni private scholaz saut na sokoine hivyo cost zao mimi, cjui nifanyeje........
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    nimejaribu kuapply sana, lakin nimegundua kikwazo ni hii kazi niliyokuwa nafanya ilikuwa haiendani na teaching, nilikuwa nafanya kazi Research and Publication work as Assistant to Research Director.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    niliamini kumtumia m2 kungesababisha kuleta mafanikio haraka zaidi kwani nimeanza nimeanza kufuatilia suala hili tangu sept 2012, kuhusu fursa ya biashara ipo, nilikuwa na salon ya kike hapa mjini lakin kutokana na mizunguko mingi pindi niko na hawa wazungu , msimamizi wangu akawa ametokomea na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    kufuka kuku nayo ni kaz ila miundo mbinu inahitajika pia, i e mtaji+ na eneo wa kufugia pia
  10. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta social work kwenye NGOs

    huu utu au ??? learn to act as a perfect human being, toa ajira co ngono na ujinga kama huu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    Niliomba lakin inaonekana nilikuwa namtumia wrong person mimi nikijua ndo top wa pale, lakin inaonekana haitowezekana kwa sasa au itachukuwa mda sana kupata nafasi.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    Sijawaomba kwa sababu za kifamilia zaid, wazaz wangu ni wazee sana hivyo wadogo zangu wananitegemea hasa kwa kuwasomesha, hivyo kutoka nje ya nchi itakuwa ngumu kwa sasa.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ndugu watanzania wenzangu.

    wapendwa watanzania wenzangu, naombeni connection ya kazi,nilikuwa nafanya kazi ya mkataba na wazungu lakini mkataba umeisha na mda wa wao kuishi hapa tanzania umeisha hivyo sina kazi. nimezunguka sana maofisini na zaidi naingia galama zingine na kupoteza fedha nyingi kwa waajili bila...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kanda ya ziwa hasa mwanza.

    nimekuelewa kiongozi, lakini tunapo sema BAED sio kwamba tunasema mtu specifically awe mwalimu, ndio maana kuna course zingine tunasoma kwa mfn: Project planning and management, Human resource management and development, natural reources management, Research paper and research methods n.k
  15. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi marafiki

    Elimu yangu ni ba of arts with education majors in geography and history, lakin pia research works, computer, managing team work niko safi sana.
Back
Top Bottom