Zanzibar ina watu Laki 2 ( 200,000) ??????????
Lakini hata ikiwa na watu Laki 2 ( 200,000) ni nchi moja kati ya 2 zinazofanya Jamhuri ya Tanzania na inatakiwa kupata mgao sawa wa misaada na mshirika mwenzake katika Muungano huo yaani Tanganyika.
Hata hivyo Tanganyika inaramba misaada yote by...
Mimi najua Muungano utavunjika tu,ingawa CCM wanaulinda kwa hali zote.
Sababu kubwa ni kwamba Muungano huu umeundwa bila ya ridhaa ya upande mmoja.
Wakati Bunge la Tanganyika liliridhia Muungano huu mwaka 1964,Kwa upande wa Zanzibar Baraza la Mapinduzi halikuridhia na wala halikushauriwa.
Ni...
@ Chilisosi.
Nakuunga mkono 100% ingawa mimi ni Mzanzibari.
Nami nauliza kwa nini tunangangania huu Muungano ??????
Kwa upande wetu sisi huku Zanzibar, tumeshachoka nao na tunaona ni nyinyi Watanganyika ndio mna hamu nao.
Watanganyika mna ardhi kubwa sana, mna madini mengi sana na sasa mna gesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.