Alo kudanganya nani wakati unaambiwa siku zote mcheza kwao hutunzwa, ukitaka kuamini kwamba wananchi wanaroho za wajumbe subiri 28 oct. Mitano tena lisu na chadema yake na kumchafua muheshimiwa kote kule, chalkkk
Siku zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, hatusikii lingine kila kitu ni ccm. All in all kizuri hughasiwa, mzee magu mi5 tena💪.
Mbowe ukaombe radhi, kitendo kile si uungwana, ulihatarisha usalam wa vyombo vya wanahabari wa tbc. Ukiawa kama msomi lazima mambo upekeke kisomi, sas nashangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.