Hii uhakika?? aisee itakuwa poa sana. Na pia serikali itaweza kukusanya mapato kwa anaetaka kulaza gari lake. (Kwa services kama usalama na ulinzi wa hayo magari)
Habari zenu Ndugu.
naomba ufafanuzi kidogo maana kuna jambo linasababisha kero na foleni kubwa ndani ya kariakoo.
hivi haya madaladala yenye route kama masaki---gerezani kwanini yanaishia kariakoo na hayafiki kabisa gerezani?
je kuna mpango wa kuyahamishia kituo cha gerezani?
kituo hicho kipo...
Habari zenu Ndugu,
Naomba ufafanuzi kidogo maana kuna jambo linasababisha kero na foleni kubwa ndani ya Kariakoo.
Hivi haya madaladala yenye route kama Masaki---Gerezani kwanini yanaishia kariakoo na hayafiki kabisa gerezani?
Je, kuna mpango wa kuyahamishia kituo cha Gerezani?
Kituo hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.