Kwa kuongezea,
Usafirishaji:
Mbeya ni mkoa ambao wilaya zake zipo Jirani jirani na zote zimeunganishwa Kwa Barabara zenye lami, pia ukaribu na mikoa kama Rukwa, Songwe, Njombe na Iringa, na Nchi kama Zambia na Malawi kunafanya watu wasafiri karibia kila mda, hivyo fursa ipo kwenye usafirishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.