Habari za wasaa huu!
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam ninayechukua shahada ya sayansi ya jumla katika masomo ya fizikia na na kemia (BSc. General). Binafsi nilijiunga na kozi hii ili mradi nisikae bure lakini lengo langu lilikuwa kusoma kozi ya Sayansi...
habari za humu ndani wana jukwaa.
niko na shida ya kupata scope na general description ya Bachelor degree of technology in Laboratory sciences inayotolewa pale DIT kitaaluma na fursa ya kujiajiri iko vipi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.