wamesema shule n mwez wa saba,sasa wanavyo chelewa kutoa hizo selection na post hawaon kama watasababisha wanafunz weng watachelewa kwenda shule kutokana na muda mdogo wa maandaliz,kama kununua vifaa vya shule,ada,na hata nauli na hela ya matumiz kwa wale watakao chaguliwa mbal .
au mnaonaje wadau?
iv mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne akiitaji scholarship inakuwaje?.
yaani namaanisha ataendelea kusoma kidato cha tano au atapelekwa kusoma college moja kwa moja? naomba ushauri juu ya hilo ndugu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.