Recent content by AGRIWORTH TZ

  1. A

    Panda miti ya mbao na nguzo unufaike baadaye

    Hiyo Bei ya laki moja nanusu inauzwa nibei ya shamba sio kukodisha linakuwa Mali yako milele.
  2. A

    Panda miti ya mbao na nguzo unufaike baadaye

    PANDA MITI YA MBAO NA NGUZO UNUFAIKE BAADAE Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na Katika Tanzania mikoa ya Njombe ni moja ya mikoa maarufu inayoongoza kwa misitu mikubwa ya kupandwa...
  3. A

    Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

    Mkuu hii thread special kwa ajili ya zao la parachichi. Sasa biashara ya mahindi unakuwa unawachanganya watu juu ya kile wanachotaka kujua kuhusu zao la parachichi! Be free anzisha uzi kuhusu Huduma yako ya mahindi naamini wadau wa sekta husika watakuelewa tu.
  4. A

    Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

    Habari yako @ HesabuKali. Sisi Agriworth Tanzania tunachokifanya Ni kumuinua mkulima juu ya zao la parachichi aina ya Hass. Nawe pia unayo nafasi ya kusaidia sekta ya kilimo ili isonge mbele zaidi na kuinua uchumi wa mkulima na kukuza pato la taifa.
  5. A

    Fursa mpya ya zao la Macadamia

    Happy mkuu hatua zinazofuata Ni Kama ifuatavyo Kama tayari una shamba, Kusafisha Shamba lako, kupata Miche Bora kwa ajili ya macadamia, kuwa na mbolea ya samadi, uchimbaji wa mashimo kwa ajili ya Miche, Baada ya hapo Ni Palizi la Shamba Pamoja na utumiaji wa viatilifu vinavyoruhusiwa kwa ajili...
  6. A

    Fursa mpya ya zao la Macadamia

    , Gharama ya Kusafisha Shamba Ni tsh 40,000
  7. A

    Fursa mpya ya zao la Macadamia

    Mkuu try to think positive in investment. Hapa kinachotolewa Ni elimu juu ya zao la macadamia
  8. A

    Fursa mpya ya zao la Macadamia

    Shukranu mkuu. Hiyo kweli Ni website yetu na hizo Ni namba kwa mawasiliano zaidi
  9. A

    Fursa mpya ya zao la Macadamia

    Habari yenu wakuu hapa JamiiForums. Kwa namna ya pekee kabisa tunatoa shukrani zetu kutoka kwa wadau mbalimbali waliotoa maoni juu ya tread yetu ya kwanza kuhusiana na zao la parachichi mkoani NJOMBE. Leo tunawaletea ELIMU juu ya zao la macadamia. KARIBU KWENYE FURSA MPYA YA MACADAMIA. NUTS AU...
  10. A

    Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

    Ahsante mkuu Trinity kwa ufafanuzi na swali lako pia. Kwa Sasa kampuni ya Agriworth Tanzania tunajihusisha na ununuzi na usafirishaji wa zao la Parachichi nje ya nchi. Karibu sana ofisini kwetu kata ya Lupembe, mkoa wa Njombe tukuhudumie
  11. A

    Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

    Mkuu Fall Army Worm tuwasiliane kupitia +255763119916. Karibu sana
  12. A

    Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

    Mkuu @ Prodigal Son. Ndio makubaliano ya kisheria Yapo. Mara baada ya kupata shamba na kuridhia utaingia mkataba wa usimamizi na kampuni ya Agriworth Tanzania. Karibu tukuhudumie mkuu
  13. A

    Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

    Karibu mkuu @ klinbritetz. 150,000 ni Bei ya ekari moja la shamba hapa mkoani Njombe. Kwa maelezo zaidi waweza kutuandikia kwenye email yetu ambayo ni agriworthtz@agriworthtanzania.com. Au tupigie kwa namba 0763119916. Karibu sana
Back
Top Bottom