Recent content by AgnessM

  1. AgnessM

    Wanawake kwanini hamu hofu wala huruma?

    Sawa upo sahihi lakin emu fikiria we hujawahi kumkosea mkeo???Kama mtu kakosea na kaomba msamaha means katambua kosa lake ana haki ya kupewa nafasi nyingine pengine kabadilika na atajuaje Kama kabadilika asipomsamehe ili kumsoma tabia yake
  2. AgnessM

    Wanawake kwanini hamu hofu wala huruma?

    Kama ni mkristo ndivo ivyo anatakiwa kufanya asamehe akae na wakubwa waongeee na mkewe wajue Kama wataendelea kwa Aman au inakuwaje,ikumbukwe ukishaoa umeoa na ukiolewa umeolewa tofauti na hapo afanye tu vyovyote ila atakuwa kinyume na biblia,Kama n Muslim cjui kwa upande huo.
  3. AgnessM

    Wadada acheni hii kitu

    Nimechoka tufanye yameisha mkuu
  4. AgnessM

    Wadada acheni hii kitu

    Dirty mindset [emoji3525]all you are thinking about is just mzigo can't you survive without mzigo!!!???????
  5. AgnessM

    Wadada acheni hii kitu

    True love requires both to be smart
  6. AgnessM

    Wadada acheni hii kitu

    Players are actually dirty,tabia n Kama ngozi haibadiliki na ikibadilika n kwa one in a million
  7. AgnessM

    Wanaume kuishi na Mwanamke aliyekuzidi kipato/wadhifa/umaarufu ni kama kujishusha

    Yeah u a right [emoji3581]wanaoijua nafasi yao tu
  8. AgnessM

    Wanachuo waheshimiwe...

    [emoji23]Aya karibu
  9. AgnessM

    Wadada acheni hii kitu

    A girl is smart a boy is dirty,is there true Love?
  10. AgnessM

    Wadada acheni hii kitu

    So do you think your money can buy ones smartest ?
  11. AgnessM

    Wadada acheni hii kitu

    What about you can you keep yourself clean?
  12. AgnessM

    Wanachuo waheshimiwe...

    Uje tu na heshima zako mkuu
  13. AgnessM

    Wanaume kuishi na Mwanamke aliyekuzidi kipato/wadhifa/umaarufu ni kama kujishusha

    Anajitahidi kwa kweli[emoji23]kungekuwa na tuzo asingekosa huyu
  14. AgnessM

    Wanaume kuishi na Mwanamke aliyekuzidi kipato/wadhifa/umaarufu ni kama kujishusha

    I like your question [emoji122]kabisaaaaa naweza
  15. AgnessM

    Sitosahau mkasa huu

    Mm nashindwa kukuelewa inawezekana mgonjwa wa HIV anaweza kupona kumbe na akawa _ve kabisaaaaa,nieleweshe hapo
Back
Top Bottom