Recent content by Agnamkwili

  1. A

    Naombeni Ushauri wenu Kijana wenu nimekwama

    Maamuzi yako ni sahihi. Endelea kupambana na huyo mwanamke. Mtafika mbali na Mungu atakubariki ndugu uwasaidie kama uwezo upo. Kikubwa panga maisha yako ya sasa na baadae
  2. A

    Mungu aliwaumba wanawake wawili tofauti

    Ndugu nafikiri wewe ndiye unaetakiwa kutoa ujinga maana hujiongezi kwa kusoma maandiko mbalimbali kuhusu uumbaji. Nikuambie sio kila kitu kiliandikwa kwenye Biblia. Ili umfahamu Lilith ingia Google tafuta kwa kuandika"Lilith ni nani?" Hapo utapata maandiko mengi yatakayo kupa umfahamu zaidi...
  3. A

    Mungu aliwaumba wanawake wawili tofauti

    Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga. Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana...
  4. A

    Kaini alipata wapi mke wake?

Back
Top Bottom