Ndugu Mdau, kama mnavyojua nchi yetu inakabiliwa na changamoto kubwa ya ajira Kwa Sasa, je unadhani mfumo wa sasa wa elimu nchini unawaandaa vizuri vijana kwa ajili ya soko la ajira au vijana tumekuwa wavivu kufikiri fursa mbali mbali Ili kujikwamua na changamoto za ajira!?
Pili, Kwa statistics...
"Get rich or Die trying" 🔥 🔥 thanks brother Miguel wa II for sharing.
Tajiri mmoja nilimuuliza Ndugu yangu ni Nini Siri ya mafanikio Yako. Alinijibu, "when I start anything, I fight until it complete no matter what obstacle on my way" lkn akanisisitiza on doing the right things on right time...
Hakika
Hakika Ndugu yangu hakuna Nafasi ya kukata Tamaa, consistency is the key to success. Hakikisha ukianza jambo mpaka lifike mwisho, hakuna kuishia njiani. Let keep fight ✨ 💪
Kwa upande wangu, Mr Kenzy kutokukata tamaa kumekuwa msingi wa mafanikio yangu. Nilipokuwa mdogo, niliishi katika mazingira yenye changamoto nyingi, lakini nilijifunza kwamba kila changamoto ni fursa ya kujifunza na kukua. Licha ya kukosa rasilimali nyingi, niliendelea kusoma kwa bidii na...
Katika safari yako ya mafanikio, ni wakati gani ulijikuta karibu sana na kukata tamaa? Ni nani au nini kilikusukuma uendelee mbele?
Tunapenda kujua hadithi yako na mambo yaliyokupa nguvu ya kusimama tena na kuendelea kupigania ndoto zako.
Mr. Paul Makonda's resilience and character serve as an inspiring example for all of us. Despite facing challenges and adversity, he maintained his composure and integrity.
His unwavering belief in God, his commitment to his principles, and his willingness to persevere are qualities we should...
Nimefikiri Kwa kina sana na kuona Tanzania inaweza kupata faida kadhaa kutokana na kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON):
1. Kukuza Uchumi wetu: Kuandaa AFCON kunaweza kusababisha kuongezeka kwa utalii, maendeleo ya miundombinu, na fursa za ajira, zinazoweza kuinua uchumi wa Tanzania even...
Habari wakuu? Ivi hapo kwenye Uteuzi wa Dr. Stephen Isaac Mwakajumilo imekaaje hii? Maana Dr Stephen ni mwenyekiti wa Chama Mkoa wa Mbeya! Na Sasa ameteuliwa kuwa DC tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.