Recent content by Aggrey Martin

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hivi mmesha kata tamaaa kiasi hiki jamani daaaah tuwe wazalendo kama mwanzo jamani mbona morali zimeshuka hivi!!!!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Umewahi kubadili namba yako ya simu na kuanza kusajili ndugu na marafiki upya?

    Icho kipindi nimewai kukipitia nikafanya hivo na kimejiludia tena sahivi nnavo sema apa toka tar 21 nime badili namba ya simu pia whtsp sitaki interaction isiyo na umuhimu ya kuna watu ni mna angaliana status tu hakuna kipya kinaendelea wala kutafutana kawaida japo kusalimiana yani kiufupi kuna...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    mbanga wangu kaniambia tunaweza tukaenda oljoro sisi
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Naskia mambo yana kalibia huko ndugu zanguni hakikisha una soksi na boksa za kutosha
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Jamani jamani jamani kama una mtu msumbue sanaa kama huna sali sana hakuna lisilo wezekana chini ya jua JWTZ OLJORO mwezi january usahili utafanyikia huko
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Tar 15 mwezi wa 12 wa uraiani wataanza kupigiwa simu kwenda dodoma watapelekwa msata tar 27 baada ya sikukuu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mwezi wa 12 kuanzia tar 9 watu wa dodoma dar iringa na mbeya wataanza kupigiwa simu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Jamani lonja niliyo nayo kozi itaanza january mwishoni tutaanza kuingia oljoro mwezi wa 12
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Pamefanyaje bongo tena
Back
Top Bottom