Hodi waungwana wote wa hapa JF
Leo nimetia maguu rasmi, kama wanajamii wengine waliotangulia, nami nikileta yale niwezayo kuyaona na kuyachangia kwa upeo wangu na uelewa wangu, pia kwa ushahidi na vyanzo niviaminio mimi kwa nafasi yangu
Nashukuru kwa nyote na admin pia, kuruhu kuwa kwangu humu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.