Nimevulia Weee Wapi..hatimae nimetia maguu, Hodi wapedwa naomba Kuungana nanyi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimevulia Weee Wapi..hatimae nimetia maguu, Hodi wapedwa naomba Kuungana nanyi

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by AgentFuller, May 26, 2012.

 1. AgentFuller

  AgentFuller New Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hodi waungwana wote wa hapa JF
  Leo nimetia maguu rasmi, kama wanajamii wengine waliotangulia, nami nikileta yale niwezayo kuyaona na kuyachangia kwa upeo wangu na uelewa wangu, pia kwa ushahidi na vyanzo niviaminio mimi kwa nafasi yangu
  Nashukuru kwa nyote na admin pia, kuruhu kuwa kwangu humu

  Naomba kuwakilisha hoja, naomba kuingia ukumbini na kuwa mwana JF mpyaa  asanteni
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  karibu sana ndugu

  [​IMG][​IMG]LIFE is strange game isn't?.....the only way of winning is not to play[​IMG][​IMG]
   
 3. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  karbu mgeni, jiskie upo "kwetu"
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  karibu sana.
   
 5. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Karibu sana Mkuu.
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Karibu sana JF mkuu.Kinywaji?
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  na sisi tulikusubiri weee but where...karibu bhanaa
   
 8. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Karibu...
   
Loading...