Recent content by afrixa

  1. afrixa

    Je, siasa ya Afrika inatusaidia au ndiyo inatupoteza?

    SIASA YETU INATUPOTEZA AU INATUSAIDIA? Wasalaam aleikum, wanajamii wenzangu. Leo nimeamua kuongelea siasa ya Afrika huru, je ni kweli inatusiadia au ndo unatupoteza? Naombeni maoni yenu. Nchi nyingi za kiafrika tangu kupata uhuru wamekuwa na mfumo wa uendeshaji wa nchi zao kupitia siasa tena...
  2. afrixa

    SoC04 Tanzania miaka 25 mbele

    Naipenda nchi yangu i: Ushauri kwa Serikali - “Tanzania Tuitakayo” Ndugu Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Sekta ya Elimu: Ili kuendeleza taifa letu, ni muhimu kuwekeza katika elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi vyuo vikuu. Serikali ihakikishe inaboresha miundombinu ya shule, kuongeza...
  3. afrixa

    SoC04 Rushwa ni adui wa haki

    1:Elimu ya Uraia: Elimu ya uraia ni muhimu sana katika kuongeza ushiriki wa wananchi. Wananchi wanapaswa kuelewa vizuri madhara ya rushwa katika jamii na uchumi wa nchi. Wanapaswa pia kufahamu haki zao na jinsi gani wanaweza kuchukua hatua pale wanapokutana na rushwa. Elimu hii inaweza kutolewa...
  4. afrixa

    SoC04 Tanzania katika miaka 25 ijayo, maono yangu

    Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali: 1. Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari. 2. Utalii wa Baharini: Kuendeleza vivutio vya utalii kama vile...
  5. afrixa

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika uchumi wa bluu

    Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali: 1:Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari. 2:Utalii wa Baharini: Kuendeleza vivutio vya utalii kama vile mbuga...
  6. afrixa

    SoC04 Tanzania katika maendeleo ya miaka 25 ijayo

    Nashukuru kwa ushilikiano
  7. afrixa

    SoC04 Tanzania katika maendeleo ya miaka 25 ijayo

    Utangulizi Asanteni sana kwa kupata fursa hii kuandika maoni yangu kwa kulenga maendeleo ya Tanzania miaka 5 mpaka 25 ijayo KILIMO NA UFUGAJI. Mradi wa Ushauri wa Kuendeleza Kilimo Tanzania kwa Miaka 5 1. Utangulizi Tanzania ni nchi inayotegemea kilimo kwa asilimia kubwa ya uchumi wake na...
Back
Top Bottom