Recent content by Afrikasana

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kimila au machifu mnatengwa. Hili nalo mkalitazame

    Eti wanaziombea ziwe salama
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Walitakiwa waendelee na unyama wao wao siwanaona walikua sahihi
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kimila au machifu mnatengwa. Hili nalo mkalitazame

    Upo uhusiano mkubwa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alilewa madaraka, akaagiza Polisi Tanzania wamkamate Edward Lowassa awekwe Korokoroni

    Mungu hukadiria mambo yake na alitakalo Mungu huwa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alilewa madaraka, akaagiza Polisi Tanzania wamkamate Edward Lowassa awekwe Korokoroni

    Mbio za sakafuni mwisho wake ukingoni
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kimila au machifu mnatengwa. Hili nalo mkalitazame

    Hukumbuki machifu huwa wanaitwa wakaombee hata mvua?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kimila au machifu mnatengwa. Hili nalo mkalitazame

    Huo upagani ndio dini yao sema hawana kitabu cha rejea Wanaabudu mizimu. Kwahiyo hata viongozi wa nchi watakabidhiwa kwa mizimu walindwe. Au uongo ndugu zanguni
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kimila au machifu mnatengwa. Hili nalo mkalitazame

    Ukweli nikwamba suala la baadhi ya makundi kuitwa wafanye maombi/dual inakua kama upendeleo. Au hao mababu wavaa ngozi za wanyama mnaona watachafua hali ya hewa kwenye majukwaa yenu?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wiki ya usalama barabarani, Polisi tuwaeleze ukweli

    Kwabaadhi ya maeneo wanatembea na silaha kamavile wanasaka majambazi. Hii sio sawa polisi badilikeni punguzeni ajali acheni kuchochea ajali
  10. A

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Jenista Mhagama unatia mashaka

    Nifundi sana wakupiga kiswahili. Anakua na tabia yakujifanya mnyenyekevu lakini wizara hiyo imeshinda. Waliowengi wanatamani Mchengerwa arudi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Jenista Mhagama unatia mashaka

    Huyo huwa anaongeatu lakini hamaanishi. Anatengeneza tatizo halafu anawaambia wengine wakalitatue
  12. A

    JamiiForums Tanzania Askari polisi wafariki ajalini Msoga

    Haijawahi kuwa na makosa
Back
Top Bottom