Ng'ombe huyu ana asili ya Brazil anatokana mchanganyiko wa ng'ombe wa asili Gyr na Friesian.
Anasifika kwa kutoa maziwa mengi Girolando jike aliyezaa mara ya kwanza anaweza kutoa hadi lita 18 kwa siku na aliyezaa mara ya pili anaweza kufikisha lita 30 kwa siku.
Sifa nyingine ambayo inafanya...
Huu ni mpango wa mkoa wa Pwani kugawa maeneo ya uwekezaji kwa ajili ya kufugia na kulima malisho(Min Ranch)ambapo kila mfugaji au mfugaji mtarajiwa atapewa ekari 125 sawa na hekta 50.
Masharti ni kufuga na kupanda malisho si kwa ajili ya kilimo, lengo likiwa kupata mashamba ya kisasa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.