Recent content by afandemaku

  1. A

    Wale wa galanos agriculture sec school miaka ya 1999-2002...tujikumbushe!.

    Dahh Wana Galax Kitambo sana … TZ Kinala Alikuwa HM Second alisimama Mbogo mzee wa KIMBOLA.. hii ni baada ya mama Msemo Kuondoka. Nani alikuwa kipindi hii pale Discipline Master amesimama Mtu mzima Massawe.. lorry la shule linapigwa Mpininna dereva Hamzaaa ebwanaaa ehee mambo ya Maintenance...
  2. A

    Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

    Aisee Uzi Umenipitq Huu Kitambo sana.. kuna waliopita Galanos mwanzoni mwa miaka ya 90 HM akisimama TZ Kinala na Toyota Staut yake… Tulikuwa na mwalimu anaitwa Mgongo wa Nyeto alikuwa anakaa ile nyumba ya mashineni pale… na Mwengine aliitwa Faza Uharo… aisee wapi Ticha Bendera, Mr Pereira Mama...
Back
Top Bottom