Recent content by AFANDE POA POA

  1. A

    Mbeya vijijini acheni kupanda mahindi kwenye makazi ya watu

    Paukwa ? Mkurugenzi wa halmashauri ya mbeya vijijini hasa mji mdogo wa mbalizi kwa nini mnaruhusu watu kulima mahindi katikati ya makazi ya watu? Usalama wa wananchi umekuwa mdogo hasa kwa watoto mahindi yamechukua eneo kubwa yamekua kificho cha wezi mabalozi wa mtaa wapo, wenyeviti wapo...
  2. A

    Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo

    Nikajua ni mimi peke yangu asee amenivutia sana very humble very wife material
  3. A

    Mfumo wa kuwasilisha maombi ya kazi Jeshi la polisi unasumbua sana

    Pamoja na serikali kuajiri ukiona degree umri huo kaomba ujue hana pa kushika
  4. A

    Mfumo wa kuwasilisha maombi ya kazi Jeshi la polisi unasumbua sana

    Police Force ongezeni umri wakuchukua watu wenye degree mtu mwenye miaka 31,32 hawa nao wanahitaji nafasi izo adimu.
  5. A

    Miaka 25 - 35 ndio umri mgumu zaidi kwa vijana wahitimu wa degree, Presha ya kupata mafanikio au kuwa mtu wa level fulani inakuwa ni kubwa mno

    Elimu yetu ya Tanzania inatuandaa kuajiriwa na sio kujiajiri kwa iyo Prof Mkenda punguza idadi ya udahili vyuo vikuu elekezeni nguvu vyuo vya kati na ufundi wasomi wapo wengi na kila mwaka wanahitimu,mnajaza watu ambao ata nchi haiwezi kuwaajili mfano walimu huko mnahitaji elfu 13 wanakuja...
  6. A

    KERO Portal ya Ajira za Zimamoto inasumbua

    Daah tunaumia tusio na ndugu kwenye vyombo hivi
  7. A

    KERO Portal ya Ajira za Zimamoto inasumbua

    Habari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa kuomba ajira izo online alifanyaje fanyaje??
  8. A

    Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

    Hakuna lolote litakalo tokea haupo ground unaleta pye pye pye nyingi umeona tangazo la wizara?
  9. A

    Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

    Hakuna lolote litatokea wala hakutakua na mass deaths. Propaganda tu, na dawa zitapatikana kama kawaida.
Back
Top Bottom