Nimesoma sheria, baada ya kumaliza nikarudi kijijini lakini sasa nikaona nachelewa kwenda shule ya sheria ya vitendo (law school), nimeamua kuja dar es salaam, nimefikia kwa rafiki yangu niliesoma nae chuo.
Nilipo nimeanza kutembea kwenye ofisi za kisheria(law firm) kutafuta nafasi ya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.