Recent content by adriantz

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kuagiza simu nje na kutumia kwa njia ya USPS, Nifanyeje?

    Nataka kuagiza simu kupitia mtandao wa amazon na ninahitaji mzigo wangu niupokee kwa njia ya USPS, Tatizo sifahamu hii USPS inakuaje ila naona wengi wanasifia kua ni nzuri. Naomba mnieleweshe. Je ili niweze kutumia hii Huduma ya USPS natakiwa kua na sanduku la posta au inakuaje? Sina uelewa...
Back
Top Bottom