Recent content by Adrian Andrew

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Kujiunga CCM: Wanaikubali CCM Imebadilika?, Wanamkubali Magufuli na Kumfuata?, Au ni Njaa Zimewakimbiza?.

    Huu Ni mkakati mkubwa Sana. Hao wanaenda kuimaliza ccm chini ya lowasa. Ni mpango ulopangwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

    Tatizo Ni Ss tunaopata mda wakujadili nauli za kijinga km za huyu musiba, kufanya hivyo Ni kumfanya ajisikie naye mtu ktk watu. Akiongea viishie huko alikovizungumzia
  3. A

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

    Anaakisi akili Na uelewa WA anao wawakilisha. Ukiona mbunge mjinga, ujue wajinga niwale walomchagua. Afu wawakilishi WA Dodoma kwann wanakuwa WA tofauti? Living lusinde, mzee WA kupiga vuboko,nkamiaaa. Nikweli watu wadodoma wako km wawakilishi Wao!!!!!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kuu ya wana CHADEMA wengi kuhamia CCM

    Kweli nimeamini hapa kumejaa ma great thinkers wakutosha. Km mmeweza kusoma Na kuelewa hoja ya mtoa mada, for sure nimewaogopa. Binafsi sijajua alitaka kusema nn Na kikiwa kinasimamiwa Na nn
  5. A

    JamiiForums Tanzania SWALI: Tangu Prof. Ndalichako ateuliwe kuwa Waziri wa Elimu, ni kitu gani amefanya katika kuboresha elimu?

    Kamshauri Rais hasiwaajiri walimu wa Sanaa. Ila ukifika shulen ndo utajua tunatatizo kubwa kiasi gani cha walimu wa kingereza Na Kiswahili hata geographia.
  6. A

    JamiiForums Tanzania DAR: Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo CHADEMA awasili Kituo Kikuu cha Polisi. Awekwa rumande na kunyimwa dhamana

    Hivi siku ccm hawapo madarakan, polisi wanao tekeleza aya maagizo, watakuwa ktk wakati gan? Jiulize ,Godbless Lema, Ester buraya, Lwakatare ama sugu, hata Zito anateuliwa kuwa waziri WA mambo ya ndan
  7. A

    JamiiForums Tanzania DAR: Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo CHADEMA awasili Kituo Kikuu cha Polisi. Awekwa rumande na kunyimwa dhamana

    Hivi siku ccm hawapo madarakan, polisi wanao tekeleza aya maagizo, watakuwa ktk wakati gan? Jiulize ,Godbless Lema, Ester buraya, Lwakatare ama sugu, hata Zito anateuliwa kuwa waziri WA mambo ya ndan
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa migodini: Hayo makubaliano hayapo kisheria, hakuna kitakachobadilika tumepoteza muda bure

    Mimi naona km hii walotupa tumewaomba kamati isionekana imetoka patupu. Ukweli nikwamba tumepoteza kuliko kupata
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

    Tatizo la jery Hana akili. Hata km nikujipendekeza, unatakiwa kutumia akili kidogo,
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM, Joseph Msukuma mikononi mwa Polisi kutokana na vurugu katIka Mgodi wa GGM

    Changa la macho Ili watutoe ktk mjadala WA lisu. Hayo yote yamepangwa Na mpaka Ss atakuwa kashaachiwa Tu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Juma Nkamia ataka uchaguzi wa Rais ufanyike kila baada ya miaka 7

    Anofia kutorudi bungen.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nimwambie Zitto, nina uwezo kumzuia kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge

    Kwa mtindo huu, basi sipika anayomamlaka ya kumvua mbunge ubunge wake, make mbunge Ni kipaza sauti cha anaowawakilisha, kumnyamazisha = Na kumvua ubunge kwasababu umezuia kazi yake. Hapo ndugai umechemka.
  13. A

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Wizara ya Madini iliidhinisha thamani ya Almasi ya Sh. Bilioni 14 kama thamani ya awali kusubiri mnada Ubelgiji

    Tatizo nchi hii watu uwa wanadandia hoja. Alianzisha Lisu Na ndiye alikuwa anajua mcngi wa tatizo, Wao wakadandia,mwisho tutalipa fidia.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Nikizumgumza hapa inaonesha ntatuka
  15. A

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Edo Kumwembe kuhusu Kenya, yanadhirisha ukanjanja wa wanahabari wengi

    Hapo mwenye tatizo Ni Eddo au wewe!!! Kabla ya kupost hasa mawazo ya mtu kwanza akikisha unasoma Na kuelewa zaidi ya Mara tatu ama nne. Angalia sasa umejihaibisha.
Back
Top Bottom