Mtoto wa mbu aliruka na kufanya safari yake kwa mara ya kwanza. Aliporejea nyumbani babake akamuuliza, vipi matembezi yako umeyaonaje? Mbu akajibu ilikuwa safi sana baba kila nilipopita watu walinipigia makofi! Babake akasema, walikuwa hawakupigii makofi ila walikuiwa wanataka kukuua!! Somo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.