Habari zenu wakuu,
Nipo Dar najishughulisha na biashara ya machinga nauza hand bags za mtumba, kutokana na ugumu wa biashara hapa jijini, nawaza nitafute mkoa wa kwenda kufanyia biashara yangu kati ya Morogoro, Njombe au Mbeya, tafadhal nahitaji ushauri wenu. Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.