Recent content by Adeline Julius

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

    Msikae kimya wapendwa huku ndiyo kafahamiana na kusaidiana siyo lazima tufahamiane kwa sura Bali naamini kuwemo humu ndani tayari mimi ni ndugu yenu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

    Nina shauku kujua njia iliyo rahisi na yenye uaminifu kibiashara niweze kupanua wigo wa kibiashara.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Mi bado mgeni humu JamiiForum naombeni kujufunza mengi ninayo kufanya nayo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

    Habari Kaka Mshana nami ninakiu kujuwa jinsi ya kuagiza chochote kwa njia ya mtandao I na jinsi ya kuvipata kw uaminifu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ndani naombeni mnipokee

    Mimi si mgeni sana lakini nilikuwa siko hewani kila wakati.
Back
Top Bottom