Recent content by Adashe

  1. A

    Kuwakemea Viongozi wa Dini, Magufuli Ameweka Rekodi Mpya

    Kwa hotuba ya leo ya Mh Rais yuko sahihi kabisa kwa upande wa mambo ya Imani na Biblia, na Mh. Rais tambua ya kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kabisa kama walivyo hao wengine wa kwenye mahekalu ila yeye ni katika eneo linguine. Natoa fungu la kuthibitisha hili na Mungu amemtumia kama mtumishi wa...
  2. A

    Walioitwa kazi OSHA

    niliwasiliana na Hr mmoja pale wanakamilisha mchakato may next week wanaweza kuanza kupiga simu
  3. A

    Kuitwa kazini Utumishi, Oktoba 2015

    OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/H/73 07, Oktoba, 2015 TANGAZO LA KUITWA KAZINI Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 22/08/2015 hadi tarehe 16/09/2015...
Back
Top Bottom