Recent content by AD MostWanted

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mbele giza ajira za ualimu

    Kaz ni kaz
  2. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo chamwino 0783 476628
  3. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Chamwino-Dodoma nije Mtwara au Lindi Idara: Msingi cont: 0783476628
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya za Walimu Ulaji kwa Waganga/Matabibu

    Inasikitisha sana tunapopewa fomu za afya alafu ukienda zahanati unatakiwa kulipia elfu 8000 then hakuna kipimo unachofanyiwa na unagongewa muhuri ile fomu tu, Tunaomba serikali iangalie hili ila kama na hii receipt inajumlishwa ktk marejesho kama ya nauli basi itakuwa sawa maana wamekula ela...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuripoti kwa waalimu wapya

    Sisi wa GATCE ambao hatujaguswa na mabadiliko nadhan no changes au?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuripoti kwa waalimu wapya

    so cc wa GATCE tunahusika na hlo coz sie hatuna mabadilko yoyote?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ila kiukweli walimu mmetupiga bao

    ucjal kaka, maisha hayana kanuni...pia nyie ni rahisi kutusua lyf
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mahitaji/malipo shule (sekondari) kwa mwaka wa masomo unaoanzia januari 2015

    Mwakan watafuta hiyo ada ya sh. 20'000 lkn michango mingine ni ya lazma na haikwepeki, maana ni utaratibu wa manispaa husika..serikali haiwez kupeleka shule mifagio, mafyekeo, dawa za choon, wala serikali haiwez kutoa pesa kwa ajili ya michezo, mahafar, mitihani midogo ya kujipima... hivyo ada...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vyuo vya ualimu kwa darasa la awali

    we upo mkoa gan kwan...maana mimi nipo Dar...labda nijue ulipo nikuelekeze
  10. A

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Daah!! God is Great!! Leo cjaonekana.humu muda mrefu kutojana na furaha, Naomba kuomba radhi kwa wale wote ambao tulipishana viswahili kutokana na stress za ajira...kwn haikuwa akili yangu...Pia nmewasamehe walionikera na kunikatisha tamaa pia...sasa hivi naanza kukopa nauli trh 1 Chamwino...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Walimu mnaweza kujiajiri

    mbona wabunge na mawazir wanatukana na tunawaita waheshimiwa?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Walimu mnaweza kujiajiri

    Kwa hiyo cc wahitimu zaid ya 40'000 tukifungua tuition centers+shule unadhan itakuwaje? Itaitwa Tuition Centers Revolution au mapinduz ya vituo vya Tuition au tutaitaje? Hakikia nmeamini kuna kusoma na kuelimika, ww utakuwa msomi ambaye hujielewi na hujui unacho kisema!! Am done
  13. A

    JamiiForums Tanzania Walimu mnaweza kujiajiri

    CHUO KINAITWAJE MKUU, DOGO ANATAKA KUJA KUSOMA...TUTAJIE BASI hatutaki ahad kama SirGin sisi
  14. A

    JamiiForums Tanzania Walimu mnaweza kujiajiri

    Mtoa maada wewe ni sawa na mtu kaenda mcbani then ndo unahutubia wafiwa kuwa marehem alikufa kizembe hapo c dhan kama utapata positive reaction
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mandamano makubwa ya walimu

    wenye salary hawajitangazi humu, ww labda unapata wage tu ya kuuza 0713....
Back
Top Bottom