Tatizo la maaskofu ni chuki dhidi ya waislamu. Wala si kweli eti serikali imeegemea uislamu na eti inavunja haki za binadamu wakristo. Huu ni uwongo, bali wanachotaka ni kuona serikali inaendeleza MFUMO KRISTO dhidi ya waislamu ndipo waridhike. Toka lini nserikali ya TZ ikaegemea uislamu wakati...
Lakini kama "mikosi" yenyewe ndo hii ya matukio ya mauaji na uchochezi yanayopangwa na "makamanda" wa CHADEMA ili kuyumbisha utawala sasa ndo mwisho wake :-*:-*:-*:-*:-*
Wana JF,
Kutokana na matukio ya mauwaji na kushambuliwa kwa viongozi wa dini yanayotokea hapa nchini, yatupasa waTZ kuwa makini kuyatafakari na kutafuta namna nzuri ya kumjua mchawi. Lakini pia tuache hisia za kiitikadi na tusikubali kufikirishwa na watu wa dola na makarani wao (waandishi wa...
Ok! Kumbe mgogoro wa kuchinja haukuwahi kuwepo ila mpaka walipopata kiongozi kutoka Mafia (Muislamu). Yaani ndo kusema awsukuma hawataki waongozwe na muislam.
Ikumbukwe baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu 2010, JK alionya juu ya udini ulivyochukua nafasi ktk uchaguzi huo lkn viongozi wa dini...
Ok! Kumbe mgogoro wa kuchinja haukuwahi kuwepo ila mpaka walipopata kiongozi kutoka Mafia (Muislamu). Yaani ndo kusema awsukuma hawataki waongozwe na muislam.
Ikumbukwe baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu 2010, JK alionya juu ya udini ulivyochukua nafasi ktk uchaguzi huo lkn viongozi wa dini...
Napenda kuwapongeza wanaharakati wa kiislam kwa kuibua madudu (njama) za serikali na kanisa ya kuwadhulumu na kuwabagua waliapa kodi wa kiislam wa taifa hili. Kwani wanaibua hoja zenye vielelezo ambazo zililifanywa kuwa siri. Hongereni na endeleeni kufanya upekuzi na bila shaka mtagundua mengine...
Absolutely! Hapa kuna maswali mengi yanahitaji majibu mazito kutokana na maelozo ya Padri Slaa.
Hoja ya Slaa kwamba madhumuni ya MoU eti ni kutokana na majengo ya huduma za kijamii ya madhehebu ya dini (kanisa) yaliyotaifishwa yalikosa huduma ya serikali na kupelekea kuwa magofu (machakavu) na...
Mara zote Pedri Slaa hasemi ukweli. Eti anatetea kauli ya maaskofu katika tamko lao kwamba MoU ilihusisha makanisa ya ujerumani na ya Tanzania wakati cover page ya MoU yenyewe inaonesha wazi ni kati ya CCT na TEC kwa upande mmoja na Serikali ya Tanzania kwa upande mwingine. Na si kweli eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.