Recent content by achiiachii

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdau anaomba ushauri: Nimetembea na Mfanyakazi wangu ana sifa zote za kuwa mke ila ameshazalishwa, nifanyeje?

    Tafuta hela broo Acha makasiriko vijana wengi humu hali ngumu tafuta pesa
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Asante mungu nimetoka kwenye huo msala nilitaka kuolewa na mnyiha ila jamaa kila nikimcheki anaonekana katili mno alafu stories Zake ni za silaha niwe na kisu sijui kujilinda alafu ukikosana kidogo anatak umlipe hata kama alikununulia biscuit ya elfu tatu lijamaa linaonekana katili nashukuru...
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Malizia nimeunguza maharage yangu leo kisa hii story yako
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

    Sijatoa expenses hapa kwani laki tatu unaona hela sasa
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

    Maskini mnashida sana umezoea kuingiza afu mbili unaona laki tatu ni miracle hahahaha tembea uone kijani sio kishinda jf
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

    Unaona laki tatu ni hela unajua expenses zake kama kodi ya godown na kodi zingine za serikali pimbi wewe
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

    Ni story yako hapo vipi
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

    Ndo akili zako zimeishia hapo kwani singo mom sio binadamu yaan mapungufu yote anayo singo mom tu hata akiniongezea watoto ndo vizur watoto ndo ndugu zako wa ukweli alafu tambua hii dunia uishi milele be humble kijana
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

    Umekariri maisha kijana shida unaona kila mtu ni wa show off katafute kazi kwanza Huna point
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

    Sio chai ni serious kabisa
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

    Mimi ni mwanamke age 30 nina biashara zangu kubwa kidogo zinaingiza mpunga kwa siku sikosi faida ndogo kabisa laki tatu nina mtoto mmoja inshort ni singo mom. Sasa katika harakati za baishara nilikutana na mkaka mmoja hivi yeye ameoa ndoa ya kanisani na Ana mtoto mmoja. Tulianza kama marafiki...
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? (Do you regret your marriage, and why?)

    Kila siku ni kama Leo tu yaan ndo nazidi kumpenda na akikimbia namkimbiza yy tu
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakina dada jitegemeeni, kipato cha mwanaume hakiwahusu

    Kwani mke sio mwanamke Kama una mke ndani alafu halete challenge mpya na yy ni kausha damu
Back
Top Bottom