HAKIKA SERIKALI INAPASWA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA SANA.
Jiji la pili kwa ukubwa nchini Tanzania kukosa chuo kikuu kikubwa kinachotoa elimu anzia ngazi ya non degree hadi degree na kuendelea ni jambo ambalo halivumiliki hata kidogo.
Serikali inapaswa kijenga chuo kikuu, Lasivyo Wanamwanza na...
Hatukatia kwamba reforms hazijafanyika, Ni kweli zipo tayari reforms ambazo zitaendelea kuminya demokrasia ya nchi, ni kweli reforms zimefanyika za kufanya uchaguzi usio wa haki na kupora haki za WANANCHI kuchagua viongozi wao wanaowapenda, ni kweli zimefanyika reforms ambazo zimetengeneza mfumo...
Hizi karibuni Rais Samia alisema mapungufu yalikuwepo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wamejipanga uchaguzi mkuu kuendeshwa kikanuni na sheria zilizowekwa.
Nafikiri kila mtu anapaswa kuwaza hivi...
1) Ikiwa uchaguzi wa serikali za mitaa ulikuwa na dosari basi hata viongozi...
Uhuni mkubwa sana unafanywa na UTPC, Taasisi ya UTPC imefanywa mali ya Mkurugenzi na watumishi wake hapo Dodoma na sio Taasisi ya Wanachama ambao ni Clubs za waandishi wa Habari mikoani.
Hii ni fedheha kwa UTPC kuifanya taasisi kuwa chanzo kikubwa Cha uchumi wao tu mkurugenzi na watu wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.