Recent content by achaunafiki

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mkapa: Kumbe alisema kweli

    we have to think critically, jamani ccm wanaposema watagawa 50million kwa kila kijiji, je? tuna vijiji vingapi nchi nzima? je jumla itakuwa shs. ngapi? je ni mikakati gani yapo ambayo yatafanya izo pesa zisiwe kama mamilioni ya jk? ambayo takwimu ilibaini kuwa wanufaika wengi hawakuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini, Slaa anatumika kuingiza nchi kwenye machafuko uchaguzi huu

    swala ni uraisi au ufisadi? kama ni uraisi kumbe huyo bwana naye anatoa hizo kashfa kwa sababu hiyo, na siyo kutetea ukombozi wa nchi hii dhidi ya ufisadi kwani ufisadi wa lowasa umeanza leo, au vyombo vya habari havikwepo? je? hajui hatua stahiki ya kuchukua badala ya kujifanya muongeaji sana...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

    tungemuelewa kama angekuwa anazungumzia mafisadi wote wa nchi hii ambao wanagombea nafasi mbalimbali ambao pia amewahi kuwashtumu ktk list of shame ila kwa mtu 1 mmmmmm!!!!!!!!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini, Slaa anatumika kuingiza nchi kwenye machafuko uchaguzi huu

    naomba mnisaidie orodha ya mafisadi, then tuangalie nafasi zao ktk taifa alafu tuseme tz bila mafisadi inawezekana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini, Slaa anatumika kuingiza nchi kwenye machafuko uchaguzi huu

    ufisadi kafanya lowasa tu, mbona wale wengine kwenye list of shame hawataji, mbona wanagombea lkn yupo kimya hawasemi, hata wa escrow wa juzi juzi hapa tunaona wanagombea
Back
Top Bottom