Ni furaha kubwa sana kurudi tena kwa mara ya pili ndani ya Jamii Forums, nilipolala i felt Memory ikianza kupata moto nami pia nimekumbuka baadhi ya majina ya Waalimu na Wanafunzi - Ignatus Nangawe, Wabu Matipuka, James Lugembe "Shoka", Francis Mataula, David Magwila, Erasmus Dennis Buberwa...