Recent content by Acfaraji

  1. Acfaraji

    Makonda atafuta staili ya kuingilia Arusha!

    Sasa watalii wakienda zao chuganiani, watajuaje kama wamefika? bado sijakuunga kwa hilo mkuu 😅
  2. Acfaraji

    Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Fahamu kuwa hii nakala yako inasomwa na umati mkubwa. Nashauri, pendelea kupitia uandishi wa sarufi kwani inakuongezea heshima kwa wasomaji kwa ujumla. Ni hayo tu ndugu mwandishi 📌
  3. Acfaraji

    Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    Asante mkuu, kila bidii inayotokana na taswira ya kiumbe hai huwa na maana kwa viumbe wengine ingalikuwa taswira hio ilikuwa binafsi lakini wanufaika hawaezi kosekana.
  4. Acfaraji

    Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Ripoti yako ni njema katika kukumbusha wanajamii maana sidhani kama kuna aliyetimamu hafahamu haya maswala. Ila Jifunze kuchapa ripoti yako kwa ufasaha wa maandishi mwandishi. Asante
Back
Top Bottom