Recent content by ACETONE KETONE

  1. A

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu, Rais Kikwete aingilia kati

    Wachungaji ndio mashetani wakwanza,vipi na yule mchungaji wa dodoma aliyempa mimba mwanafunzi mimba kwa madai alkuwa anamuombe...jina nimemsahau jina anayemkumbuka atutajie jina.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    Acha kutoa maneno ya uwo moja ya katibu alyetimuliwa ambaye ni zitto si ni mtu wakigoma,na huyo dada yake lisu ni mnyaturu wa singida..slaa muiraq sasa wewe uchaga unatoka wapi hapo...ntakupa wengne bdaye.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    Mtoa mada wacha umbea fanya yanayokuhusu ya chadema tuachie chadema.
Back
Top Bottom